\v 36 Alimchukua mtoto mdogo akamweka katikati yao. Akamchukua katika mikono yake, akasema, \v 37 "Yeyote ampokeaye mtoto kama huyu kwa jina langu, pia amenipokea mimi, na ikiwa mtu amenipokea, hanipokei mimi tu, lakini pia aliyenituma."