sw_mrk_text_ulb/09/33.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 33 Ndipo walifika Karperinaumu. Wakati akiwa ndani ya nyumba aliwauliza, ''Mlikuwa mnajadili nini njiani"? \v 34 Lakini walikuwa kimya. Kwani walikuwa wanabishana njiani kwamba nani alikuwa mkubwa zaidi. \v 35 Alikaa chini akawaita kumi na wawili pamoja, na alisema nao, "Kama yeyote anataka kuwa wa kwanza, ni lazima awe wa mwisho na mtumishi wa wote."