sw_mrk_text_ulb/09/30.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 30 Walitoka pale na kupitia Galilaya. Hakutaka mtu yeyote ajue walipo, \v 31 kwa kuwa alikuwa anafundisha wanafunzi wake. Aliwaambia, "Mwana wa Adamu atafikishwa mikononi mwa watu, na watamuua. Atakapokuwa amekufa, baada ya siku tatu atafufuka tena." \v 32 Lakini hawakuelewa maelezo haya, na waliogopa kumwuliza.