\v 28 Wakati Yesu alipoingia ndani, wanafunzi wake walimwuliza faragha, "Kwa nini hatukuweza kumtoa?" \v 29 Aliwaambia, " kwa namna hii hatoki isipokuwa kwa maombi."