\v 26 Alilia kwa nguvu na kumhangaisha mtoto na roho alimtoka. Mtoto alionekana kama amekufa, Ndipo wengi walisema, "Amekufa," \v 27 Lakini Yesu alimchukua kwa mkono akamwinua, na mtoto alisimama.