1 line
378 B
Plaintext
1 line
378 B
Plaintext
\v 20 Walimleta mtoto wake. Roho mchafu alipomwona Yesu, ghafla ilimtia katika kutetemeka. Mvulana alianguka chini na kutoa povu mdomoni. \v 21 Yesu alimwuliza baba yake, "Amekuwa katika hali hii kwa muda gani?" Baba alisema, " Tangu utoto. \v 22 Mara nyingine huanguka katika moto au kwenye maji, na kujaribu kumwangamiza. Kama unaweza kufanya chochote tuhurumie na utusaidie." |