sw_mrk_text_ulb/09/14.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 14 Na waliporudi kwa wanafunzi, waliona kundi kubwa limewazunguka na Masadukayo walikuwa wanabishana nao. \v 15 Na mara walipomwona, kundi lote lilishangaa na kumkimbilia kumsalimia. \v 16 Aliwauliza wanafunzi wake, "Mnabishana nao juu ya nini?"