sw_mrk_text_ulb/09/11.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 11 Walimwuliza Yesu,"Kwa nini waandishi husema lazima Eliya aje kwanza?" \v 12 Akawaambia, "hakika Eliya atakuja kwanza kuokoa vitu vyote. Kwa nini imeandikwa Mwana wa Adamu lazima apate mateso mengi na achukiwe? \v 13 Lakini nasema kwenu Eliya alikwisha kuja, na walimfanya kama walivyopenda, kama vile maandiko yasemavyo kuhusu yeye."