sw_mrk_text_ulb/09/07.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 7 Wingu lilitokea na kuwafunika. Ndipo sauti ikatoka mawinguni ikisema, " Huyu ni mwanangu mpendwa. Msikieni yeye." \v 8 Ghafla, walipokuwa wakitazama, hawakumuona yeyote pamoja nao, isipokuwa Yesu tu.