1 line
315 B
Plaintext
1 line
315 B
Plaintext
\v 4 Ndipo Eliya pamoja na Musa walitokea mbele yao, na walikuwa wakiongea na Yesu. \v 5 Petro alijibu akamwambia Yesu, "Mwalimu, ni vyema sisi kuwa hapa, na tujenge vibanda vitatu, kimoja kwa ajili yako, kimoja kwa ajili Musa na kingine kwa ajili ya Eliya." \v 6 (Kwa kuwa hakujua nini cha kusema, waliogopa sana.) |