sw_mrk_text_ulb/08/35.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 35 Kwa kuwa yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, na yeyote atakayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya injili, atayaokoa. \v 36 Inamfaidia nini mtu, kupata ulimwengu wote, na kisha kupata hasara ya maisha yake? \v 37 Mtu anaweza kutoa nini badala ya maisha yake?