sw_mrk_text_ulb/08/33.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 33 Lakini Yesu aligeuka na kuwatazama wanafunzi wake na akamkemea Petro na kusema, "Pita nyuma yangu Shetani! Hujali mambo ya Mungu, isipokuwa mambo ya watu." \v 34 Kisha akauita umati na wanafunzi wake pamoja, na kuwaambia, "Kama kuna mtu anataka kunifuata, ajikane mwenyewe, achukue msalaba wake, na anifuate.