sw_mrk_text_ulb/08/31.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 31 Na akaanza kuwafundisha ya kuwa Mwana wa Adamu lazima ateseke kwa mambo mengi, na atakataliwa na viongozi na makuhani wakuu, na waandishi, na atauawa, na baada ya siku tatu atafufuka. \v 32 Alisema haya kwa uwazi. Ndipo Petro akamchukua pembeni na akaanza kumkemea.