sw_mrk_text_ulb/08/27.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 27 Yesu aliondoka na wanafunzi wake kwenda vijiji vya Kaiseria ya Filipi. Wakiwa njiani aliwauliza wanafunzi, "Watu wanasema mimi ni nani?" \v 28 Wakamjibu wakasema, "Yohana mbatizaji. Wengine wanasema, 'Eliya' na wengine, 'Mmoja wa Manabii."