sw_mrk_text_ulb/08/24.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 24 Alitazama juu na kusema, "Naona watu wanaonekana kama miti inatembea." \v 25 Ndipo akanyosha tena mikono yake juu ya macho yake, mtu yule akafungua macho yake, aliona tena, na akaona kila kitu vizuri. \v 26 Yesu alimwacha aende nyumbani na akamwambia, "Usiingie mjini."