\v 18 Mna macho, hamuoni? Mna masikio, hamsikii? Hamkumbuki? \v 19 Nilipoigawanya mikate mitano kwa watu elfu tano, mlichukua vikapu vingapi vilivyo jaa vipande vya mikate?" Wakamjibu, "kumi na mbili."