sw_mrk_text_ulb/08/16.txt

1 line
219 B
Plaintext

\v 16 Wanafunzi wakasemezana wao kwa wao, "Ni kwa sababu hatuna mikate." \v 17 Yesu alilitambua hili, na akawaambia, "Kwa nini mnasemezana kuhusu kutokuwa na mikate? Hamjajua bado? Hamuelewi? Mioyo yenu imekuwa miepesi?