sw_mrk_text_ulb/08/14.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 14 Wakati huo wanafunzi walisahau kuchukua mikate. Hawakuwa na mikate zaidi ya kipande kimoja kilichokuwa kwenye mashua. \v 15 Aliwaonya na kusema, "Muwe macho na mjilinde dhidi ya chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.