sw_mrk_text_ulb/08/07.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 7 Pia walikuwa na samaki wadogo wachache, na baada ya kushukuru, aliwaamuru wanafunzi wake wawagawie hivi pia. \v 8 Walikula na wakatosheka. Na walikusanya vipande vilivyo baki, vikapu vikubwa saba. \v 9 Walikaribia watu elfu nne. Na aliwaacha waende. \v 10 Mara aliingia kwenye mashua na wanafunzi wake, na wakaenda katika ukanda ya Dalmanuta.