sw_mrk_text_ulb/06/48.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 48 Na aliwaona wakitaabika kupiga makasia kwa sababu upepo uliwazuia. Ilipokaribia asubuhi akawaendea, akitembea juu ya maji, na alitaka kuwapita. \v 49 Lakini walipomwona anatembea juu ya maji, wakaingiwa na wasiwasi wakidhani ni mzimu hata wakapiga kelele. \v 50 kwa sababu walimwona wakajawa na hofu. Mara akasema nao akawaambia, "Muwe wajasiri! ni mimi! Msiwe na hofu."