sw_mrk_text_ulb/06/42.txt

1 line
197 B
Plaintext

\v 42 Walikula wote hadi wakatosheka. \v 43 Walikusanya vipande vya mikate iliyobaki, Vikajaa vikapu kumi na viwili, na pia vipande vya samaki. \v 44 Na walikuwa wanaume elfu tano waliokula mikate.