sw_mrk_text_ulb/06/39.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 39 Akawaamuru watu waketi katika makundi juu ya majani mabichi. \v 40 Wakawaketisha katika makundi; makundi ya mamia kwa hamsini. \v 41 Kisha akachukua mikate mitano na samaki wawili, na kutazama mbinguni, akaibariki kisha akawapa wanafunzi waweke mbele ya umati. Na kisha aligawa samaki wawili kwa watu wote.