sw_mrk_text_ulb/06/35.txt

1 line
180 B
Plaintext

\v 35 Muda ulipoendelea sana, wanafunzi wakamjia wakamwambia,"Hapa ni mahali pa faragha na muda umeendelea. \v 36 Uwaage waende miji ya jirani na vijiji ili wakajinunulie chakula."