sw_mrk_text_ulb/06/14.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 14 Mfalme Herode aliposikia hayo, kwa kuwa jina la Yesu lilikuwa limejulikana sana. Baadhi walisema, "Yohana mbatizaji amefufuka na kwa sababu hiyo, hii nguvu ya miujiza inafanya kazi ndani yake." \v 15 Baadhi yao wakasema, "Huyu ni Eliya," Bado wengine wakasema, "Huyu ni nabii, kama mmoja wa wale manabii wa zamani."