\v 12 Nao wakaenda wakitangaza watu watubu na kuacha dhambi zao. \v 13 Waliwafukuza pepo wengi, na waliwapaka mafuta wagonjwa na wakaponywa.