sw_mrk_text_ulb/04/40.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 40 Akasema nao, "Kwa nini mnaogopa? Je hamna imani bado?" hampaswi kuogopa \v 41 Walijawa na hofu kubwa ndani yao na wakasemezana wao kwa wao, " Huyu ni nani hata upepo na bahari vya mtii?".