sw_mrk_text_ulb/04/38.txt

2 lines
287 B
Plaintext

\v 38 Lakini Yesu mwenyewe alikuwa kwenye shetri,
yani kwenye sakafu ya chini kwenye mtumbwi amelala. Wakamwamsha, wakisema, "Mwalimu, unapaswa kuwa makini sisi tunakufa?" \v 39 Akaamka, akaukemea upepo na bahari, "'Ikawa shwari, na salama". Upepo ukakoma, na kukawa na utulivu mkubwa.