sw_mrk_text_ulb/04/35.txt

1 line
371 B
Plaintext

\v 35 Katika siku hiyo, wakati wa jioni ulipotimia, akasema nao wanafunzi wake, "Twendeni upande wa pili wa bahari". \v 36 Hivyo wakauacha umati wa watu, wakamchukua Yesu, wakati huo tayari alikuwa ndani ya mtumbwi. Mitumbwi mingine ilikuwa pamoja naye. \v 37 Na upepo mkali wa dhoruba na mawimbi ya maji yalikuwa yakiingia ndani ya mtumbwi na mtumbwi ulianza kujaa maji.