sw_mrk_text_ulb/04/30.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 30 Akasema, "nitumie mfano gani kuufananisha ufalme wa Mungu na nikitu gani, au tutumie mfano gani kuuelezea?. \v 31 Ni kama mbegu ya haradali, ambayo ilipopandwa ni ndogo sana kuliko mbegu zote duniani. \v 32 Hata, wakati imepandwa, inakuwa kubwa zaidi ya mimea yote ya bustani, na inafanya matawi makubwa, hata ndege wa angani huweza kufanya viota vyao kwenye kivuli chake."