1 line
390 B
Plaintext
1 line
390 B
Plaintext
\v 26 Akasema, "Ufalme wa Mungu umefananishwa na mtu aliyepanda mbegu katika udongo. \v 27 Alipolala usiku na kuamka asubuhi, na kukuta zimechipuka na kukua, ingawa hajui zilivyo chipuka. \v 28 Aridhi hutoa mbegu yenyewe; kwanza majani, halafu maua, halafu mbegu zilizo komaa. \v 29 Na wakati mbegu itakapo komaa mara hupeleka watu wenye mundu kuvuna, kwa sababu nafaka iko tayari kuvunwa." |