sw_mrk_text_ulb/04/24.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 24 Akawaambia, " Iweni makini kwa kile mnachokisikia, kwa kuwa kipimo mpimacho, ndicho mtakachopimiwa, na kitaongezwa kwenu. \v 25 Kwa sababu yeye aliyenacho, atapokea zaidi, na yule asiyenacho, kwake vitachukuliwa hata vile alivyonavyo."