sw_mrk_text_ulb/04/21.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 21 Yesu akawaambia, " Je huwa unaleta taa ndani ya nyumba na kuiweka chini ya kikapu, au chini ya kitanda? Huileta ndani na kuiweka juu ya kiango. \v 22 Kwa kuwa hakuna chochote kilichojificha ambacho hakitajulikana, na hakuna siri ambayo haitawekwa wazi. \v 23 Akiwapo mwenye masikio ya kusikia, na asikie!"