1 line
392 B
Plaintext
1 line
392 B
Plaintext
\v 18 Na wengine ni wale waliopandwa katika miiba. Wanalisikia neno, \v 19 lakini masumbufu ya dunia, tamaa za mali, na tamaa za mambo mengine, huwaingia na kulisonga neno, na linashindwa kuzaa matunda. \v 20 Kisha kuna wale ambao wamepandwa kwenye udongo mzuri. Wanalisikia neno na kulipokea na huzaa matunda: baadhi ya watu thelathini, na baadhi ya watu sitini, na baadhi ya watu mia moja." |