sw_mrk_text_ulb/04/13.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 13 Yesu akasema na wanafunzi wake, "Je hamuelewi mfano huu? Mtawezaje kuelewa mifano mingine?. \v 14 Mpanzi alipanda neno. \v 15 Baadhi ni watu walioanguka pembeni mwa njia, mahali neno lilipopandwa. Na walipolisikia, mara Shetani akaja na kulichukua neno ambalo lilipandwa ndani yao.