1 line
394 B
Plaintext
1 line
394 B
Plaintext
\v 10 Yesu alipokuwa na, wale waliokuwa karibu naye na wale kumi na wawili walimuuliza kuhusu mifano. \v 11 Akasema nao, "Kwenu ninyi Mungu amewapa siri za ufalme. Lakini kwa ambao hawapo miongoni mwenu kila kitu ni kwa mifano, \v 12 ili wakitazama, ndiyo hutazama, lakini wasione, na wanaposikia ndiyo husikia, lakini wasielewe, nisemayo wasije wakageuka na kuacha dhambi Mungu akawasamehe." |