\v 8 Mbegu zingine zilianguka kwenye udongo mzuri na zikazaa matunda wakati zikikua na kuongezeka, zingine zilizaa mara thelathini zaidi, na zingine sitini, na zingine mia". \v 9 Na akasema, "Yeyote mwenye masikio ya kusikia, na asikie!"