sw_mrk_text_ulb/04/06.txt

1 line
192 B
Plaintext

\v 6 Lakini jua lilipochomoza, zilinyauka, kwa sababu hazikuwa na mzizi, zilikauka. \v 7 Mbegu ziingine zilianguka katikati ya miiba. Miiba ilikua na ikazisokota, na hazikuzaa matunda yeyote.