sw_mrk_text_ulb/04/03.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 3 Sikilizeni, mpanzi alienda kupanda. \v 4 Alipokuwa akipanda, baadhi ya mbegu zilianguka njiani, na ndege wakaja wakazila. \v 5 Mbegu zingine zilianguka kwenye mwamba, ambako hapakuwa na udongo mwingi. Mara zikanyauka, kwa sababu hazikuwa na udongo wakutosha.