sw_mrk_text_ulb/04/01.txt

1 line
290 B
Plaintext

\c 4 \v 1 Tena alianza kufundisha kandokando ya bahari. Na umati mkubwa ulikusanyika ukamzunguka, akaingia ndani ya mtumbwi baharini, na kuketi ndani ya mtumbwi. Umati wote walikuwa pembeni mwa bahari ufukweni. \v 2 Na akawafundisha mambo mengi kwa mifano, na akasema kwao mafundisho yake.