sw_mrk_text_ulb/03/33.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 33 Aliwajibu, "Ni nani mama yangu na ndugu zangu?" \v 34 Aliwatazama waliokuwa wamekaa wamemzunguka, na akasema, "Tazama, hawa ni mama zangu na ndugu zangu! \v 35 Yeyote afanyaye mapenzi ya Mungu, mtu huyo ni ndugu yangu, na dada yangu, na mama yangu".