sw_mrk_text_ulb/03/31.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 31 Kisha mama yake na ndugu zake walikuja na kusimama nje. Wakatuma mtu, kumwita. \v 32 Na umati wa watu uliokuwa umeketi karibu naye wakamwambia, "mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta wewe".