sw_mrk_text_ulb/03/28.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 28 Kweli nawambieni, dhambi zote za wana wa watu zitasamehewa, pamoja na kufuru ambazo wanatamka, \v 29 lakini yeyote atakaye mkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, bali ana hatia ya dhambi ya milele". \v 30 Yesu alilisema hili kwa sababu walikuwa wakisema, "Ana roho mchafu".