sw_mrk_text_ulb/03/26.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 26 Kama Shetani atainuka kinyume chake mwenyewe na kugawanyika, hawezi kusimama, atakuwa amefika mwisho wake. \v 27 Lakini hakuna hata mmoja awezaye kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuiba vitu vyake bila kumfunga mtu mwenye nguvu kwanza, na kisha kukusanya vilivyomo nyumbani.