sw_mrk_text_ulb/03/23.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 23 Yesu aliwaita na kusema nao kwa mifano, " Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani? \v 24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. \v 25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.