sw_mrk_text_ulb/03/11.txt

1 line
170 B
Plaintext

\v 11 Popote roho wachafu walipomwona, walianguka chini mbele yake na kulia, na walisema, "Wewe ni Mwana wa Mungu". \v 12 Aliwakemea kwa msisitizo wasimfanye akajulikana.