sw_mrk_text_ulb/03/09.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 9 Na aliwaambia wanafunzi wake kuandaa mtubwi mdongo kwa ajili yake kwa sababu ya umati, ili kwamba wasije wakamsonga. \v 10 Kwa kuwa aliwaponya wengi, kila mtu aliyekuwa na mateso alikuwa na shauku ya kumfikia ili amguse apone.