sw_mrk_text_ulb/03/07.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 7 Kisha Yesu, pamoja na wanafunzi wake, walienda baharini, na umati mkubwa wa watu uliwafuata ukitokea Galilaya na Uyahudi \v 8 na kutoka Yerusalemu na Idumaya na mbele ya Yorodani na Tiro na Sidoni, umati mkubwa, uliposikia kila kitu alichokuwa anakifanya, walikuja kwake.