sw_mrk_text_ulb/03/05.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 5 Akawatazama kwa hasira, akihuzunika kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao, na akamwambia yule mtu, "Nyoosha mkono wako". Akaunyoosha na Yesu akamponya mkono wake. \v 6 Mafarisayo wakaenda nje wakafanya njama pamoja na herode dhidi yake ili kumuua.