sw_mrk_text_ulb/03/03.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 3 Yesu alimwambia mtu mwenye mkono uliopooza, " Inuka simama katikati ya umati huu." \v 4 Kisha akawaambia wale watu, "Je ni halali kutenda tendo jema siku ya Sabato au kutenda yasiyo haki; kuokoa maisha, au kuua?" Lakini hawakujibu walibaki kimya.