\c 3 \v 1 Tena Yesu aliingia ndani ya sinagogi na palikuwa na mtu mwenye mkono uliopooza. \v 2 Baadhi ya watu walikuwa wakimfuatilia kwa ukaribu kuona kama atamponya siku ya Sabato ili wamshitaki.